Tahariri

Tumuunge mkono Rais kuinua sekta ya biashara, uwekezaji nchini

Serikali ya Awamu ya Sita imejipambanua kuwahakikishia wafanyabiashara, wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwa inaboresha mazingira ya uwekezaji na biashara ili kuvutia uwekezaji utakaoinua uchumi wa nchi na watu wake kwa ujumla....